Review by Bennie Mc Coy on Alliance In Motion

alliance in motion global ni zaidi ya fursa kwangu kwani imeniwezesha kukua sio tu afya bora uhuru wa kifedha,bali ata maendeleo binafsi(personal development),na uhuru wa kifikra pia kupitia mafunzo yake yanayotolewa na viongozi wake bora na wenye uzoefu wa kutosha katika soko,ivo napenda kutumia fursa hii pia kuwakaribisha watanzania wenzangu na wale wote walipo nje ya fursa hii kua wakati ni sasa kwani bado hawajachelewa na ivo basi wasiendelee kupoteza mda zaidi ili tuinuke wote kwa pamoja kwani maendeleo ya mtu mmoja mmoja kwa pamoja ndio yanayojenga taifa lenye nguvu na maendeleo pia kwa ujumla uku tukifuraia uhuru wetu wa kifikra,kifedha na afya bora.

Become a Recommended Distributor

Direct Selling Distributors, they are active professionals, who love to team up with you!